| Eneo la mzunguko,lina mandhari nzuri sana hasa kupigia picha za aina mbalimbali. |
| Nyerere square ni sehemu maarufu watu wanapumzika na kupiga picha za aina Mbalimbali,jijini Dodoma. |
| Watu wakipumzika na kutafakari maisha mazuri ya Kitanzania. |
| Huu ndio mnara wa sanamu ya Baba wa Taifa la Tanzania , Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliopo jijini Dodoma. |
kitu nyerere square..... dodomaaaaaa
ReplyDelete