Saturday, November 3, 2012
LEO NDIO LEO TENA PATASHIKA NGUO KUCHANIKA
Mara baada ya mechi ya msimu ulopita timu ya washika bunduki wa London kupigwa kipigo cha mbwa mwizi, sasa leo je watarudisha heshima? hii ni kutokana na kulala 8 - 2 msimu ulopita.
Mechi ya leo itachezwa OLD Trafford kiwanja ambacho Washika bunduki hao wa London hawatokisahau katika maisha yao kwa kufungwa goli nyingi na Mashetani wekundu hao wa jiji la Manchester, Man UTD.
usipitwe na mtifuano huu wa leo ambao unatarajiwa kuwa kukata na shoka, Arsenal wakiwa Trafford kutaka kulipa kisasa na hali ya kuwa Red devils Man UTD wakitaka kudhihirisha kuwa wao sio wa kubahatisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment