| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana  na Mnadimu Mkuu wa Jeshi la 
Wananchi la Tanzania  Luteni Jenerali  Abdulrahman Shimbo  kabla ya 
kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala,  Uganda, kuhudhuria mkutano wa
 nchi za Maziwa Makuuasubuhi leo Agosti 7,  2012. Katikati yao ni 
Inspoekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema. | 
0 comments:
Post a Comment