![]() |
Mafundi wa kampuni ya Jasco wakiendelea na ujenzi wa barabara ya Libert jijini Mwanza. |

Barabara ya Libert kutokea barabara ya Uhuru inavyoonekana sasa kufuatia kuendelea kwa ujenzi wake unaofanywa na kampuni ya Jasco ya jijiniMwanza. |

Eneo la barabara ya Uhuru kuelekea Mlango mmoja jijini Mwanza, ambalo limekuwa ni sehemu korofi ambapo kwa sasa inakarabatiwa kutokana na kuwa kero kubwa wakati wa mvua zinaponyesha. |

Mafundi wakitandaza nondo ili kumwaga zege kudhibiti eneo hilo katika barabara ya Uhuru jijini Mwanza ambalo limekuwa kero kupitika wakati wa mvua zinaponyesha. |
0 comments:
Post a Comment