Friday, August 10, 2012

HUYU JAMAA NOUMAH AISEE DAAAH

Gold number 2: Usain Bolt admires his second gold medal of London 2012, after winning the 200m final

Usain Bolt akiangalia medali yake ya dhahabu baada ya kushinda jana katika mbio za mita 200 ikiwa ni dhahabu yake ya pili katika mashindano yanayoendelea ya Olympiki.
Grinning: The double gold medal winner grabbed a photographer's camera and started taking snaps of the crowd
 Aliachukua kamera toka kwa mpiga picha na kuanza kupiga picha kwa mashabiki na kwa mwanariadha mwenzie Blake alieshika nafasi ya pili hiyo jana.


 Mr charisma: As thousands of cameras flashed around the stadium, Bolt grabbed a snapshot of his own






Say cheese: Yohan Blake strikes a pose showing off his muscles as his team mate Usain Bolt takes his picture after the 200m final
Blake akitunisha misuli huku akipigwa Picha na Bolt katika moja ya vituko walivyofanya baada ya kuweza kushinda medali hiyo jana usiku,Blake alishika nafasi ya Pili nyuma ya Bolt.
Funnyman: Yohan Blake pulls a tiger impression for cameraman Usain Bolt
Blake akiendelea kuonyesha vimbwanga kwa Mpiga picha Usain Bolt hali iliyowavutia watazamaji waliokuwa wamejaa uwanjani hapo na kutumbuizwa kwa muda na wawili hao baada ya kushinda medali..
Easy: After strolling to victory, Bolt dropped to the track and did press-ups in the shadow of the Olympic Flame 
Furaha ya ushindi hiyo 
Bolt's time, 19.32, was just outside the Olympic record of 19.30
Hivi ndivyo alivyomaliza mbio hizo jana baada ya kuweza kumaliza kwa 19.32 katika mbio za mita 200 ambapo alishindwa kidogo tu kuifikia rekodi yake mwenyewe ya Beijing ya 19.30
  Jamaica 123: Bolt eased over the line in a time of 19.32, followed by Blake and Warren Weir, making it a Jamaica 1-2-3
 Namba 1,2,3 zilishikwa na wanariadha wote toka nchini Jamaica 
Trademark: Bolt rewarded the crowd by striking his famous lightning bolt pose after collecting his gold medal
 Trademark kama kawaida huikosi hiyo.....
Icon: Bolt's achievement elevates him above Carl Lewis, who defended his 100m title in Seoul in 1988 
Hiyoo sasa utamshika kweli huyoo...balaaa
Yohan Blake, Usain Bolt and Warren Weir celebrate their phenomenal 1-2-3 for Jamaica  
 Yohan Blake, Usain Bolt na Warren Weir wakisherehekea ushindi wao kwa kunyakua nafasi ya l 1-2-3 kwa nchi yao  Jamaica 
 Usain Bolt usiku wa Alhamisi alifanikiwa kuwa mwanariadha wa kwanza katika historia ya michezo ya Olimpiki, kuweza kuutetea ubingwa wake kikamilifu katika mbio zote fupi, mita 100 na vile mita 200.

0 comments:

Post a Comment