Friday, August 10, 2012

DALA DALA LATEKETEA KWA MOTO BUGURUNI MCHANA WA JANA


Daladala aina ya Isuzu Journey likiwaka moto maeneo ya Buguruni Rozana  mchana wa jana Hakuna mtu aliejeruhiwa wala kupoteza maisha katika moto huo ambao chanzo chake hakikujulikana mara moja.

0 comments:

Post a Comment