Saturday, November 3, 2012

Watakaotangaza Uchochezi Wa Uamsho Kufungiwa

Meneja wa Baraza la Habari kanda ya Zanzibar(MCT)Suleiman Seif Omar akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusu tamko la Tume ya utangazaji Zanzibar kupiga marufuku kuripoti taarifa za UAMSHO zenye kuashiria uvunjifu amani kushoto ni Kaimu Katibu Mtendaji wa MCT John P.Mireny.

0 comments:

Post a Comment