CRISTIANO RONALDO KWA TIMU INAYOMTAKA INATAKIWA KULIPA €1 BILLION
Kila
mchezaji anayo bei yake, ingawa vilabu vimekuwa vikijaribu kila njia
kuweza kukaa na wachezaji wao muhimu, lakini siku zote inakuwa ngumu
jambo lililopelekea kuwa zinawawekea vipengele vya beighali ikiwa kuna
klabu itakuja kuwataka kuwanunua wakiwa bado kwenye mkataba husika. Kupitia utafiti mdogo uliofanyika
tumeweza kugundua na kupata kujua ni wachezaji gani wanaongoza kwa
kuwekewa vipengele vya kuuzwa fedha nyingi kuliko wenigne.
0 comments:
Post a Comment