![]() |
Siku akiwa anatambulishwa katika uwanja wa zamani wa Arsenal Highbury |
![]() |
Mazoezini siku ya kwanza |
![]() |
Akisherehekea moja ya makombe yake ya kwanza kabisa kushinda akiwa na Arsenal - kombe la FA Cup baada ya kuifunga Manchester United kwa penati 5-4 |
![]() |
Majeruhi yalipoanza kumuandama |
![]() |
Moja ya magoli bora kabisa akiwa na Arsenal - hapa akiwatungua Charlton |
![]() |
Aliposhea uwanja na Thierry Henry katika awamu ya kwanza |
![]() |
Hapa ni baada ya kwenda kumsalimu golikipa wa Edwin Van Persie. |
![]() |
Hapa ni baada ya kuwafunga mabao mawili Chelsea kwenye uwanja Stamford Bridge. |
![]() |
Hapa ni baada ya kufungwa na Bolton kwenye mchezo wa fainali. |
![]() |
Kadi yake nyekundu aliyopewa kwa maamuzi ya utata dhidi ya Barcelona. |
![]() |
Akiombwa asiondoke |
![]() |
Akiwafunga mahasimu wao wakubwa Tottenham |
![]() |
Akishangilia magoli yake mawili aliyoyafunga dhidi ya Chelsea kwenye uwanja |
![]() | ||
Hapa ndipo Majeruhi yalipoanza kushikakasi |
![]() |
Siku ya mwisho aliyoyafanya mazoezi na Arsenal huko Ujerumani. |
0 comments:
Post a Comment